HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 5, 2010

Dr. Thadeo Na Devolta Wawaka Waka Leo

Dr. Thadeo Jekonia Maina akipozi na mkewe Devolta mara baada ya kumeremeta na kuwaka waka leo katika ukumbi wa Mwika social holi sinza.
Dr. Thadeo na mkewe Devolta wakinyweshana kinywaji laini tarrrtiibu kabisa.
Bi Harusi,Devolta akimvisha pete mumewe Dr. Thadeo kwa ishara kuishi milele kwa shida na raha.sherehe ya ndoa hii imefanyika katika ukumbi wa Mwika Social holi Sinza.
maharusi pamoja na wapambe wao wakiwa hai tebo wamekula pozz
Dr. Thadeo pamoja na mkewe na wapambe wao wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi menzake na bwana harusi ambo ni madaktari wenzake,Dr. Thadeo anakula mzigo katika Hospital ya Amana,Ilala jijini Dar.
ndugu wa karibu wa bwana harusi
kamati ya maandalizi ikiwa imesimama imara kabisa huku mwenye kiti wa kamati hiyo akimwaga maneno kwa bwana harusi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad