HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 7, 2010

Kishalia Hapa....!!!

hizo ndinga zishalambana pasi na kwa bahati nzuri waze wa feva walikuwepo jirani na hapo wanapata maelezo toka kwa wahusika.
huku wazee wa feva wakipata data toka kwa haliolambana pasi,huku nyuma mambo yalikuwa ni tafran maana hakuna sheria tena hapo bali ni ubavu kwa kwenda mbele.
wazee wa feva washamaliza kazi yao haoooo wanasepa zao eneo la tukio huku mambo yakiendelea kuwa tafrani,maana kila mmoja anataka kuwahi anakokwenda.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad