hili shimozz lililopandwa na mti mkavu,inasemekana lipo hapo kwa siku nyingi sana sasa lakini hakuna hata anaeshughulika nalo.lipo katika barabara ya msimbazi usoni kabisa mwa kituo cha Polisi Msimbazi.
No comments:
Post a Comment