HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 8, 2010

Gari La Faya Lapiga Mweleka Magomeni Leo

Gari la kikosi cha zimamoto cha Faya lenye nambari za usajili STK 4372 likiwa limeanguka mara baada ya dereva wake kushindwa kulikontroo alipokuwa akikwepa gari nyingine iliyokuwa ikivuka ng'ambo ya pili ya barabara maeneo ya magomeni mapipa wakati likiwahi mahala bila shaka kuzima moto kwani king'ora na vimwelumwelu vilisikika na kuonekana kabla ya mzinga huo.
hawa ndio halioumia katika mzinga huo uliotokea maeneo ya magomeni mapipa mchana wa leo.
wasamalia wakijitahidi kuwatoa askari Faya waliokuwemo katika gari hilo mara baada ya kupiga mweleka mchana huu.
maji yoote yaliishia hapa,nafikiri paipu zilibasti.
Dereva wa gari la Faya akijaribu kusiokoa mara baada ya gari hilo kula mweleka.
watupia macho nao kama kawa,walikuwepo kushuhudia tukio hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad