
vijana wengi hapa mjini wameamua kujiajiri kwa kufanya biashara mbali mbali kama aonekanavyo kijana huyu ambaye yupo maeneo ya Mwembe chai akijishughulisha na uchomaji wa Vitumbua.zamani ilikuwa ni jambo la ajabu sana kumkuta kijana wa kiume akifanya shughuli hii,lakini sasa kila kitu kinawezekana.
No comments:
Post a Comment