Mikocheni au Michuzi Ikipita masiku uwe unatuambia ni wapi? Mie nawasiwasi kama Mikocheni Kwenda Kawe au Msasani club?...
Anonymous june 28,2010 12:14 PMwala usijari,awamu hii lazima niwatajie iwapo mtakuwa mmetoka kapa kupafahamu mahala hapa.PamoJah
Njia panda ya chuo kikuu kama umetokea ubungo kushoto baada ya daraja
Hiyo bagamoyo road.....njia panda ya kwenda kawe........a.k.a kwa Dito
Njia panda ya Kawe ukiwa unatokea Kawe ukikata kushoto unaelekea Mwenge ukikata kulia unaelekea Tegeta
Itapotea hii Michuzi tuambie wapi?
Watu wana Cheat wanaangalia ma Bus haya Bwana hii njia Panda Ya Tanga barabara ya 25 hahahahaa!!!! mie nishashindwa Sio Kushoto kwenda MWenge Ubavu wangu Kawe inaenda Mbezi kulia?...
Mikocheni au Michuzi Ikipita masiku uwe unatuambia ni wapi? Mie nawasiwasi kama Mikocheni Kwenda Kawe au Msasani club?...
ReplyDeleteAnonymous june 28,2010 12:14 PM
ReplyDeletewala usijari,awamu hii lazima niwatajie iwapo mtakuwa mmetoka kapa kupafahamu mahala hapa.
PamoJah
Njia panda ya chuo kikuu kama umetokea ubungo kushoto baada ya daraja
ReplyDeleteHiyo bagamoyo road.....njia panda ya kwenda kawe........a.k.a kwa Dito
ReplyDeleteNjia panda ya Kawe ukiwa unatokea Kawe ukikata kushoto unaelekea Mwenge ukikata kulia unaelekea Tegeta
ReplyDeleteItapotea hii Michuzi tuambie wapi?
ReplyDeleteWatu wana Cheat wanaangalia ma Bus haya Bwana hii njia Panda Ya Tanga barabara ya 25 hahahahaa!!!! mie nishashindwa Sio Kushoto kwenda MWenge Ubavu wangu Kawe inaenda Mbezi kulia?...
ReplyDelete