HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 28, 2010

Wapi Hapa??

kwa wanaolijua vyema jiji la Dar basi lazima watakuwa wanapafahamu hapa,sasa msaada tutani wandugu.

7 comments:

  1. Mikocheni au Michuzi Ikipita masiku uwe unatuambia ni wapi? Mie nawasiwasi kama Mikocheni Kwenda Kawe au Msasani club?...

    ReplyDelete
  2. Anonymous june 28,2010 12:14 PM
    wala usijari,awamu hii lazima niwatajie iwapo mtakuwa mmetoka kapa kupafahamu mahala hapa.

    PamoJah

    ReplyDelete
  3. Njia panda ya chuo kikuu kama umetokea ubungo kushoto baada ya daraja

    ReplyDelete
  4. Hiyo bagamoyo road.....njia panda ya kwenda kawe........a.k.a kwa Dito

    ReplyDelete
  5. Njia panda ya Kawe ukiwa unatokea Kawe ukikata kushoto unaelekea Mwenge ukikata kulia unaelekea Tegeta

    ReplyDelete
  6. Itapotea hii Michuzi tuambie wapi?

    ReplyDelete
  7. Watu wana Cheat wanaangalia ma Bus haya Bwana hii njia Panda Ya Tanga barabara ya 25 hahahahaa!!!! mie nishashindwa Sio Kushoto kwenda MWenge Ubavu wangu Kawe inaenda Mbezi kulia?...

    ReplyDelete

Post Bottom Ad