HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 28, 2010

Suzuki Grand Vitara Inauzwa

mbele
ubavuni kulia
ubavuni kushoto
nyuma

Mambo vipi Mzee wa Mtaa Kwa Mtaa,
eehh bwana fanya msaada tutani kuniwekea gari hili katika wanja letu la kujidai (Blogu Yetu) ili wadau waweze kulicheki na waweze kufika bei.
bei yake ni milioni 14 tu(14,000,000/=) fedha taslim za kiTz. mkuu limetumika kidogo sana hapa bongo na liko katika hali nzuri sana tu kama lionekanavyo pichani hapo.


WASILIANA NA;


PROSPER TENGA (SEKAO)

CELL 0713 777 404

AURELIA BARAKA

CELL 0654 085 087
0782 985 177
0786 544 251

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad