HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 28, 2010

Sofia Productios

kijana Kareim wa Sofia Productions akiwakilisha katika sekta yake muhimu ya kushuti video laivu katika sherehe za miaka kumi ya bendi ya Twanga Pepeta jana katika viwanja vya lidaz klabu.
mdau nanihii pia nae akifanya vitu vyake.
Sofia wako juu kiukweli maana wamekamilika kila idara,si mnaona wenyewe video zikichanganywa hapa na wataalam hawa.
baada ya kazi sasa ni madafu,hawa ni wapiganaji wa ukweli toka Sofia Productions.kulia ni Kareim na kati ni Cloud wakijipatia juisi ya dafu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad