HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 29, 2010

Wadau Wa NIC Ndani Ya Viwanja Vya Saba Saba

wadau wa NIC wakiwa katika picha ya pamoja, toka kushoto ni Henry Machoke (Meneja Masoko),Mwanaid Shemweta (Meneja Uhusiano na Mawasiliano),Adelaida Muganyizi (Afisa Masoko),Meneja wa NIC anaeshughulikia maswala yote ya Bima kasoro ya Magari,Ntimba Bunny wakiwa ndani ya banda lao la Bima lilipo ndani ya viwanja vya maonyesho ya biashara vya Mwalimu J.K. Nyerere,kilwa road jijini Dar
Meneja uhusiano na mawasiliano wa NIC,Mwanaid Shemweta (kulia) akijadiliana jambo na maafisa waandamizi wa bima ya maisha,Immaculate Maro (kati) na Ndina Nsaji (kushoto) katika banda lao la Bima lililopo ndani ya viwanja vya maonyesho ya biashara vya Mwalimu J.K. Nyerere,kilwa road jijini Dar
Meneja wa NIC anaeshughulikia maswala yote ya Bima kasoro ya Magari,Ntimba Bunny akiwaeleza wateja waliofika katika banda lao la Bima lilipo ndani ya viwanja vya maonyesho ya biashara vya Mwalimu J.K. Nyerere,kilwa road jijini Dar

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad