
lango kuu

wadada wa tigo huduma kwa wateja wakishoo love leo katika banda lao lililopo ndani ya viwanja vya maonyesho ya biashara vya Mwalimu J.K. Nyerere,kilwa rodi jijini Dar.

wadau wa tigo,toka shoto ni Noel Nchimbi,Claudia Samuel,Doreen Muganga na Fransisca African wakiwakilisha ndani ya viwanja vya saba saba leo.

Pendo na Pauline

mwanalibeneke Muhidin Sufiani akipiga stori mbili tatu na vimwana wa Sasatel

banda la TTCL likimaliziwa kupigwa sop sop

Banda la NSSF

Banda la Benki Kuu na TBC

Banda la Chuo Kikuu Huria

askari wa kikosi cha Farasi akipiga misele ndani ya viwanja vya saba saba

Banda la Home Shopping

Scout wakipiga misele

wauza misosi wakiendeleza libeneke kwa kupishana kama nanihii vile

mzee wa mafoto akilamba taswirazz ya jamaa aliekuwa akikwepa mawe (kulala) mara baada ya uchovu na jua kali la ndani ya viwanja vya saba saba leo.
No comments:
Post a Comment