TM Music ikishirikiana na Maua Recording Studio inakuletea Tamasha la uzinduzi wa DVD yao Ijulikanayo kwa Jina la TUTAMWONA MWOKOZI. Tamasha hilo litafanyika tarehe 6/6/2010 katika ukumbi wa City Christian Center Upanga, kuanzia 11 jioni.
TM music [Tuungane kwa Mema] au ukipenda Tumaini na Mgini, ni kundi kubwa la waiimbaji wapatao 170 wakiimba nyimbo za injili za kumsifu Mungu.Kundi hili kubwa lina nia moja ya kua pamoja kwa mema.
Na limewashirikisha
waimbaji kutoka makabila mbali mbali na madhehebu yote kwa kumsifu Mungu kwa uimbaji mahiri tena wenye Mvuto.
Nyote mnakaribishwa.

No comments:
Post a Comment