HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 1, 2010

Huu Utaratibu Wa Hawa Ndugu Zetu Kupita Katikati Ya Barabara Kuomba Msaada Unakuwa Vipi??

ni kweli kwamba hawa watu wanahitaji misaada tena mikubwa sana ili waweze kujikimu na maisha yao,lakini huu utaratibu wa kupita katikati ya barabara unakuwaje hasa kwa swala zima la kiusalama??maana akiwa kama hapo hawezi kuonekana na mtu alie kwenye gari.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad