HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 1, 2010

Timu Ya Singida Yazuru TBL leo

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe akiongea leo katika tafrija fupi iliyoandaliwa kwa ajili ya Mabingwa wapya wa Kili Taifa Cup iliyofanyika katika ukumbi wa Safari Pub uliopo ndani ya Kampuni ya Bia Tanzania,Ilala Mchikichini.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe akiongea leo katika tafrija fupi iliyoandaliwa kwa ajili ya Mabingwa wapya wa Kili Taifa Cup iliyofanyika katika ukumbi wa Safari Pub uliopo ndani ya Kampuni ya Bia Tanzania,Ilala Mchikichini.wengine ni Mpishi wa Bia za TBL,Justino Jekela (kushoto) na Mwenyekiti wa FA Singida,Iddy Mnyampanda alieongozana na timu hiyo.
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Singida am bao ndio mabingwa wapya wa Kili Taifa Cup 2010/11 wakimsikiliza Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe (hayupo pichani) katika tafrija fupi iliyoandaliwa kwa ajili ya kuipongeza timu hiyo. Mpishi wa Bia za TBL,Justino Jekela akitoa maelekezo kwa wachezaji wa timu ya Singida namna uzajishaji wa bia unavyonyika katika kampuni ya bia ya TBL pindi walipotembelea leo
Kiongozi wa Maabara ya Vilaji vyote vya TBL,Conchesta Ngaiza akiwaeleza wachezaji wa timu ya Singida namna ya upimaji wa bia pamoja na viwango vyake pindi walipotembelea katika kampuni hiyo ya bia leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad