Meneja wa Bia ya Ndovu Special Mart,Oscer Shelukindo pamoja na Mpishi mkuu wa TBL,Mzee Gaudence Mkolwe wakiongea mara baada ya kupokea tuzo ya Grand Gold Quality 2010 huko nchini ujerumani,jioni hii.
Meneja wa Bia ya Ndovu Special Mart,Oscer Shelukindo pamoja na Mpishi mkuu wa TBL,Mzee Gaudence Mkolwe wakielekea kupokea tuzo ya Grand Gold Quality 2010 huko nchini ujerumani,jioni hii.

Medali ya Grand Gold kwa Ndovu Special Mart

Cheti cha ushindi wa Tuzo.

Meneja wa Ndovu Special Mart,Oscar Shelukindo na Mpishi Mkuu wa TBL, Mzee Gaudence Mkolwe wakiwa ni wenye furaha na fahari ya kupokea tuzo ya Grand Gold Quality 2010 waliyoipata usiku wa kuamkia leo jijini Wiesbaden,nchini Ujerumani.

Mmoja wa Watanzania waishio ujerumani akijiunga wadau wa Ndovu Special Mart kushangilia ushindi wa kilaji hicho.

Meneja wa Ndovu Special Mart,Oscar Shelukindo na Mpishi Mkuu wa TBL, Mzee Gaudence Mkolwe wakipokea tuzo ya Grand Gold Quality ya Ndovu Special Malt jijini Wiesbaden, Ujerumani, usiku kuamkia leo

Ndovu Special Malt ikitangazwa mshindi wa tuzo ya Grand Gold.
No comments:
Post a Comment