Leo warembo hao watapanda jukwaani kuchuana wakiwania taji la Miss Ilala 2010 kwenye shindano litakalofanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza. Wa nne kulia ni mtaalam wa habari Vodacom Tanzania Matina Nkurlu.
Wafanyakazi wa Vodacom wakiangalia
warembo wa Miss Ilala wakicheza Kiduku kuoneshawamejiandaa kwa shoo la nguvu kabla ya kuanza kuchuana
No comments:
Post a Comment