
naomba kutoa jibu la mahala hapa kama vile nilivyokuwa nimeahidi katika ile post ya mwanzo,japo wadau wengi walijaribu na wengine kutambua kabisa kuwa hapa ni wapi lakini sina budi kutoa jibu lililo kamili ili kila mmoja wetu aweze kupatambua hapa.jibu ni kwamba hapa ni njia panda ya kawe al maarufu njia panda kwa Ditto.kinakoelekea hicho kipanya ni Kawe na lielekeako hilo daladala ni Mwenge pia huko ielekeako hiyo teksi ni Mbezi bichi.natumai nitakuwa nimesomeka vyema.kwa wale ambao hawakuiona ile post ya awali wanaweza kubofya
HAPA na kuiona.
Tarehe: June 29, 2010 11:41 PM, | Anonymous Anonymous Anasema:
ReplyDeleteWatu wana Cheat wanaangalia ma Bus haya Bwana hii njia Panda Ya Tanga barabara ya 25 hahahahaa!!!! mie nishashindwa Sio Kushoto kwenda MWenge Ubavu wangu Kawe inaenda Mbezi kulia?...
Tarehe: June 29, 2010 11:41 PM, | Anonymous Anonymous Anasema:
ReplyDeleteWatu wana Cheat wanaangalia ma Bus haya Bwana hii njia Panda Ya Tanga barabara ya 25 hahahahaa!!!! mie nishashindwa Sio Kushoto kwenda MWenge Ubavu wangu Kawe inaenda Mbezi kulia?... Ndio nilivyosema ya awali kwahiyo nimepata.
Michuzi kuna ile Posti ya movie iliandikwa Muvu ipo wapi? naitafuta siipati kuna picha ya command john na Movie za kichina. niwekee tena.
ReplyDelete