HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 30, 2010

Imerudi Hewani Tena

Siku ya leo Tanzania ilipambazuka vibaya.
Mtandaowako uupendaoulikuwa na ujumbe kuwa UKO KWENYE MATENGENEZO. Hilo halikuwa tangazo rasmi, bali ilikuwa ni ishara kuwa kuna matatizo ya kiufundi, ambayo tunasikitika kusema yalikuwa nje ya uwezo wetu na yamechukua muda mrefu kuliko tulivyotarajia.
Hata hivyo, baadaya jitihada kali kufanyika za kurekebisha hali hiyo, hatimayetumerudi tena hewani na tunaendelea kukuhabarishayote yanayojiri Bongo.
Tunawashukuru kwa uvumilivu wenu, tunawaomba radhikwa usumbufu mkubwa mlioupata. Hatuna la kusema,zaidi ya kuwaomba radhi na kuwapa kile mlichokikosakwa muda huo!Asanteni sana
WEB MASTER
GPL.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad