HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 23, 2010

Usiku Wa Radha Ndani Ya Mzalendo Pub

mshindi wa kuzungusha nyonga kwa siku hiyo alikuwa ni huyu Dada na hapa akiwa amekamatia zawadi yake mara baada ya kukabidhiwa na Da' Detah wa Overmeer Wine ambao ndio wadhamini wakuu wa Disco la kimataifa la FlAva nITE linalopigwa kila j1 katika kiota cha Mzalendo Pub.
Da' Detah wa Overmeer Wine (shoto) akikabidhi zawadi kwa mshindi wa kata nyonga katika usiku wa radha unaoangushwa kila siku za jumamosi katika kiota cha Mzalendo Pub.
mduara na kuduarika..
kwaitozzz....
Old Skul..
kitu cha alajiii alajiii...... eeehhh gudundu gudundu gudundu... eenn alajii alajii alajii....
za kiujana zaidi.
yenu limekolea.
*** FlAvA NiTe ***

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad