HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 23, 2010

Raha Na BurDaaan Ndani Ya Flava Nite @ Mzalendo Pub

mie na Ncha Kali tukiwakilisha ndani ya Flava Nite.Dj Venture (shoto) akiwa na washkaji.
mdau George (kulia) akiwa na rafikiye wa longi taimu.ndugu moja na dada.
Mie nikiwa nimepigwa konozz na Albino Flani pamoja na mdau (jina limentoka.)
wakongwe katika gemu la U-Dj toka enzi za ticha
konozz la urithi kama kawa.Wadau.
kaka Mkubwa na Mie ndani ya Mzalendo pub.
mdau Richie Dillon (tatu toka shoto) akiwa na nduguze ndani ya Flava Nite @ Mzalendo Pub usiku wa kuamkia leo.
Albino Flani akilonga mawili matatu na mdau Cathbert.
Mdau,Steve Nyerere,Jay wa Mawingu Studio,Mrembo na Mdau wa Mbeya.
Dj Bon Love akiwa na washkaji zake toka long taimu,walipotina mzalendo pub kumpa tafu.kama ulikosa kuhudhiria wiki hii,basi hakikisha wiki ijayo haikupigi chenga tena.ni FlAvA NiTe.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad