HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 18, 2010

Simba Yaitungua Yanga 4-3 Taifa Leo

wachezaji wa timu ya Simba wakiwa na kombe lao la ubingwa walilokabidhiwa leo mara baada ya kumalizika kwa mechi kati yao na watani zao Yanga katika mtanange wa kukata na shoka uliomalizika jioni hii katika uwanja wa taifa wa neshno stadium.Simba ndio mabingwa wapya wa ligi kuu ya Vodacom 2010/11
wachezaji wa Yanga wakimzonga refa kutokana na maamuzi ya hovyo aliyoyaamua leo
wenzangu na mie full kuuzunika
washabiki wa Simba wakifurahia ushindi pamoja na ubingwa pia.katika mtanange uliochezwa leo katika wanja letu la taifa la neshno stadium.
(picha zote ni kwa hisani ya Mroky Mroky na Jane John)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad