
Venture akiwa na warembo ambao ni mastaa wa Movie wakiongozwa na Aunt Ezekiel (wa kwanza kushoto).

warembo

Mie na staa wa Muvi,Aunt Ezekiel tukiwakilisha ndani ya Flava Nite @ Mzalendo pub

Dj Mackay na Mrembo

toka kulia ni Habib (Sunday),Tambwe na mdau

Jay,Godfrey na mtangazaji wa Magic Fm.

Wadau wa Exective Solutions,shoto ni Irene na kulia ni Carol

Paul James a.k.a mzee wa mchereee akiwa na mai nanihii wake

Mie na super model Lucy

Chacha Maginga akibadilishana mawazo na Dj Bon Lov

Martin,Lucky,anko Taji Liundi

Samira,Nafisa na Martin

vichwa makini katika nyanja ya utangazaji,toka shoto ni Isack Gamba,George Njogopa na Aboubakar Liongo wakigonga mishkaki huku wakisikiliza magoma ya Flava Nite @ Mzalendo pub usiku wa kuamkia leo.

George Luanda na nduguye Walter Luanda

Dj Don na wadau wa Overmeer wakiwakilisha kwa pamoja.

Mdau na mai nanihii wake


mdau Joe na Shemeji

Juddah,Shemeji na Mshkaji.
WEKAAAAAAAAAA MATOKEOOOOOOOOOOOOOOO NA KOMBE LETUUUUUUUUUUU HAHAHAHAAHAHAH PAZI. KAMA LIVERPOOL YA 80 vile.
ReplyDelete