
mshindi wa kata nyonga akiwa na zawadi yake ya Wine mbele ya bango la wadhamini wakuu wa Flava Nite ndani ya Mzalendo pub jumamosi hii.

Dj Don akiwakilisha zawadi ya Wine kwa mshindi wa siku hiyo

mwaga radhi kama kawa

hapo sasa

mwendo wa kuduarika

old skul

kama wanacheza baishoo vileee

kitu cha kwaito toka bondeni

ni mwendo wa stepu tuu,kama huwezi kuenda sambamba na wenzako lazima utoke

mwendo wa kwaitoo tuu hapa.


yenu la ukweli likisakatwa na wadau.haya mambo hupatikana sehemu moja tu hapa jijini Dar katika kila jumamosi ya wiki,napo ni Mzalendo pub katika usiku wa Ladha za ukweli hivyo kama ulikosa jumamosi hii jitahidi isikupite jumamosi ijayo.Flava Nite
poa babu yake babu kubwa naona bongo imechangamka wewe mwenyewe tu upende kujibweteka home viwanja kibao inavutia ipo siku nikitia team bongo nitahudhuria wape hi wadau wote wa flave nite, si mbaya pia kama ukizungukia na viwanja vingine pia
ReplyDelete