NDUGU WADAU WAPENDWA WA BLOG YETU HII YA MTAA KWA MTAA,NAOMBA KUWATAARIFU KUWA SITAWEZA KUWEKA PICHA YA AINA YEYOTE SIKU YA LEO KATIKA KIJIJI CHETU HIKI,KWANI KUNA TATIZO LA KIUFUNDI LINAENDELEA NDANI YA KIJIJI CHETU HIKI NA MAMBO YAKIKAMILIKA KILA KITU KITAKWENDA POA NA LIBENEKE LITASONGA KAMA KAWA.NAOMBENI RADHI KWA USUMBUFU HUU ULIOJITOKEZA.
AHSANTENI NA TUKO PAMOJA
-MUONGOZA LIBENEKE
No comments:
Post a Comment