
Venture na Da' Jide

Dina na Mie

masuper star wa Muvi nao waliwakilisha pamoja ndani ya Flava Nite

Venture na Mdau

Josline,Venture na Darda King

Dj Mackay na Dj Mie tukila mzigo wa Flava Nite

Mie na Da' Jide

Jide na Paul

Ndugu toka zamani hawa

Dina na Venture

Mdau,Kibonde,Mussa,Venture,Frank pamoja na Mackay

Ray,Venture na Ben

Mie,Nafisa na Mdau

Warembo

Mtu mzima akiwakilisha ipasavyo

Venture na wadau

Venture na shemejie

toka kulia ni Dj Mc G (Afica Bambataa enzi zileeee),mdau,Dj Bon lov na mdau mwingine

toka kulia ni Juddah,Dj Mackay,Mdau,Dj Oscer pamoja na Dj Bulla

wadau wakiwa ndani ya Flava Nite @ Mzalendo Pub
da AGU WA MACHAME
ReplyDeletesiyo wa machame huyo wa hapahapa
ReplyDelete