
hii gari linatumika kama duka la kuuzia viombo vya ndani na huwa linasimama popote pale ambapo kuna uwingi wa watu na kuanza kuendeleza mambo kama lilivyokutwa na kamera ya Mtaa Kwa Mtaa jioni ya leo pale Kijitonyama.sasa sijui na yeye ana leseni kama zile walizonazo wenye maduka yaliyopo kule kariakoo na kwingineko????
No comments:
Post a Comment