kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha hapa jijini,sehemu nyingi mambo yanakuwa kama hivi yaani hakusimamiki wala hakukaliki,ni mwendo wa maji kila mahali.hiki ni kituo cha daladala cha Karume kilionekana hivi mchana wa leo.
No comments:
Post a Comment