
Dorris na Asupya

Anthony na Dangio

Mubarack na Doris wakiwa nje ya mlango wa Savannah lodge.

Doris na Dangio

Emily Riwa (kulia) kutoka Zain,akimkabithi zawadi mmoja wa washidi wa Usiku wa Uhuru wa Kuongea uliofanyika siku za hivi karibuni pale Savannah Lodge

Asupya Nalingigwa (kulia) akimkabithi zawadi mmoja wa washidi kwenye Usiku wa Uhuru wa Kuongea uliofanyika pale Savannah lodge,Zain walimwaga zawadi kibao kwa wateja wao na kuweza kuwapigisha kilaji ipasavyo kiasi ambacho kila aliekuwepo pale alilifurahia tukio hilo.

Wafanyakazi wa Zain waki show love kwa pamoja,toka shoto ni Anthony, Veneranda, Mubarack, Elionora na Asupya.hii ilikuwa ni katika usiku wa uhuru wa kuongea uliofanyika pale Savannah lodge,Benjamin Mkapa Tower.ambapo waliweza kulipia vinywaji kwa wateja woote waliofika katika sehemu hiyo ya maraha.

Wafanyakazi wa Zainwakiwa nje ya kiota cha maraha cha Savanna lodge katika usiku wa kuongea ambao unamfanya mtumiaji wa Zain kulonga kwa sh.1 kwa sekunde na sh.1 kwa dakika kuanzia saa 5 usiku.Zain waliweza kulipia vinywaji vya wateja woote waliofika katika sehemu hiyo ya kujidani na kuweza kumwaga zawadi kede kede kwa watu woote waliokuwepo siku hiyo.
No comments:
Post a Comment