HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 22, 2010

Wadau

aliesimama ni Mdau King Kif anaeendesha kijiji cha http://kingkif.blogspot.com akiwa pamoja na Mdau Sultan Tamba katika ofisi yao ilizopo katika Jengo la Ushirika,Mnazi mmoja.Mdau Tamba nae alinotonya kuwa anaandaa kijiji chake na muda si mrefu kitaanza kuonekana hewani,hivyo wapenzi wa Riwaya na Hadithi kaeni mkao wa kula.wote hawa ni wahariri wa Gazeti la Kiu.

1 comment:

Post Bottom Ad