Mshindi katika draw ya NITASOMA iliyofanyika leo asubuhi ametoka chuo kikuu cha Tumaini Iringa.
Witness Lucas mwanafunzi wa mwaka wa pili faculty of Education ameshinda zawadi ya kila wiki ijulikanayo NITASOMA MOBILE .
Wanafunzi wana shauriwa kushiriki ili kujishindia zawadi hizo mbalimbali zitakazo wasaidia kujiendeleza kielimu. Kupaitia ujumbe NITASOMA kwenda 15767
Kwa maelezo ya kina nenda:
ELIMU KWANZA

No comments:
Post a Comment