
Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco Alex Kaaya akimuonyesha Dawa mbalimbali zinazotumika kusafisha maji kabla ya kumfikia mtumiaji wakati wa kilele cha wiki ya maji iliyomalizika leo katika kijiji cha Mwendapole Kibaha Mkoani Pwani kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Haajat Amina Said Mrisho

Hapa akitoka kukagua banda la Kiboko wakati alipotembelea banda hilo leo.
No comments:
Post a Comment