HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 19, 2010

Mishe Mishe Posta Mpya

wakazi wa jiji la Dar wakiwa katika mishe mishe zao za kila siku katika kotido kuu ya posta mpya mchana wa leo.

1 comment:

  1. Huyo dada aliyevaa marangi mweusi na Orange mbona kakuoneshea kidole? na huyu dada wa kati hii picha umepiga lini kasema yupo kwa mama yake tanga kumbe yuko mitaa ya posta ananidanganya sio? subiri sasa. Nyambafuuuuuuuuu

    ReplyDelete

Post Bottom Ad