wakazi wa jiji la Dar wakiwa katika mishe mishe zao za kila siku katika kotido kuu ya posta mpya mchana wa leo.
Huyo dada aliyevaa marangi mweusi na Orange mbona kakuoneshea kidole? na huyu dada wa kati hii picha umepiga lini kasema yupo kwa mama yake tanga kumbe yuko mitaa ya posta ananidanganya sio? subiri sasa. Nyambafuuuuuuuuu
ReplyDelete