Dear Othman a.k.a Mzee wa Mtaa Kwa Mtaa
kwanza kabisa naomba nikupongeze kwa kazi nzuri ya kutuhabarisha mambo mbali mbali yanayojiri katika nchi yetu kwa kupitia kijiji chetu hiki chenye kila aina ya raha na burdani tele.sasa kaka naomba uniwekee hii kitu kwenye blog yetu.hii kitu iko sokoni ni NISSAN PRAIRIE, toleo la 2003,bei ni sawa na bure kabisa.
Kwa mawasiliano piga namba hizi +255714050552 au +255715524148.
Thanks kwa kutuhabarisha kaka.
No comments:
Post a Comment