hii ndio kazi ya matairi chakavu,yaani yakimalizika kazi yake katika magari tunaletewa sisi huku uswazi na kutengeneza viatu vya kutokea kama vionekanavyo hapa sokoni.bongo mambo tambare kinomaa kwa kwelii.
No comments:
Post a Comment