HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 26, 2010

Baadi Ya Mitaa Ya Kariakoo Ionekanavyo Sasa

huu ni mtaa wa Mafia
mtaa wa Mzizima
Mtaa wa Narung'ombe
Mtaa wa Muheza
Mtaa wa Jangwani nao baada ya kupigwa sop sop.

5 comments:

  1. Hebu nipigie mtaa wa nyamwezi kibarabara kile kuanzia kwa muchacho kuelekea petrol station nilikuwan ikikaa hapo zamani sana nipo nje ya nchi plz othman nakuaminia.

    ReplyDelete
  2. Othman ujue umeniacha njia panda??? mtaa wa mafia ni kwetu ila hapo sijui ni kipande kipi, yaani nimechungulia ile posta sijaiona so sijapajua hebu nipe hint



    Mtg

    ReplyDelete
  3. Anonymous,March 26,2010 6:33 PM
    wala usikonde nitafanya hivyo na naamini utafurahi kuona home kwenu kwa siku nyingi.

    @MTG nawe kwa kupotea kwenuuu..!!! yaani kila siku hukumbuki kwenu??utaibiwa wewe...!hapo ni kama unatokea Mzizima mwisho na kuja Msimbazi.picha hiyo nimeipiga nikiwa nimesimama katika makutano ya mtaa wa Jangwani na Mafia.nafikiri umenipata wangu?

    ReplyDelete
  4. Kwakwakwkawa hahahahaha Othman unauwa sasa Mie mdau wa Kwanza Unajuwa tena huyo Kigeti kidogo kikali wanafunga na kufunguwa na kufulu. akiingia kwenye Gari lao Prado inakibendera kinapepea anapelekwa anapopelekwa akirudi ndani. asije kukutana na wakina sie tusije kumuacha barabarani kuvuka hawezi. Mwinyi.

    ReplyDelete
  5. yaani nimechungulia ndo nimevuta picha upande wa kushoto ni kwa kina marehemu seleman mensa kulia juma mtambo nshapaona vizuuuuri sasa


    Mtg

    ReplyDelete

Post Bottom Ad