HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 25, 2010

Makamuzi Ya Twanga Pepeta Ndani Ya Club Bilcanas

waimbaji wa bendi ya Twanga Pepeta kisima cha burudani wakiwajibika jukwaani usiku wa kuamkia leo katika kiwanja chao cha kujidai cha siku ya jumatano pale Club Billcanas.toka kulia ni Saleh Kupaza,Luiza Mbutu,Kalala Jr pamoja na Charles Baba wakiwajibika vilivyo jukwaani.
wazee wa kazi,toka shoto ni Roget Hegga,Amigolas,Abou Semhando (Baba Diana) pamoja na MCD wakiwa nje ya club billcanas usiku wa kuamkia leo.
mtasha kakolea na magoma ya Twanga na kuamua kujichangana na wanogesha shoo wa bendi hiyo
sugua kisigino staili ikipiga kazi
si mnawaona vijana wanavyojutumaaaaaaa.......
hii ni staili mpya kabisa ya bendi hii ya wana wa kuTwanga na Kupepeta ambayo jina lake kwa bahati mbaya nililisahau pale pale baada ya kumalizika kwa shoo hii.ila nitausaka uongozi wa Twanga wanitajie tena jina lake.hii staili ni mpya na iko katika nyimbo yao mpya kabisa ambayo nilitonywa kuwa hapa ilikuwa ipo katika majaribio na ikimalika tuu,itawafikia wapenzi wootw wa Twanga popote pale mlipo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad