HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 14, 2010

Makamuzi Ya Twanga Pepeta Katika Kiwanja Chao Cha Nyumbani

mwimbaji wa bendi ya Twanga Pepeta wana wa kusugua kisigino,Charles Baba akiwajibika jukwaani katika ikiwa ni muendelezo wa kukamua katika kiwanja chao cha Nyumbani cha Mango Garden,Kinondoni.
Safu nzima Ya waimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta,ikiongonzwa na Amigolas (nyuma ya mwanadada Luiza Mbutu) wakikamua ndani ya kiwanja chao cha Nyumbani,Mango Garden.
Safu ya Usambuliaji jukwaa kwa upande wa wanaume,ikiwajibika vilivyo.
safu ya usambuliaji kwa upande wa kina Dada,nayo ikionyesha vitu vyake usiku wa kuamkia leo katika kiwanja cha nyumbani,Mango Garden.

1 comment:

  1. WAAAAAAAAAAACHAK UBANIA WEKA SIMBA OYEEEEEEEEEEEEEEE PAZI.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad