HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 14, 2010

Makamuzi Ya Flava Nite @ Mzalendo Pub Wikiendi Hii Ndani Ya Mzalendo Pub

huyu Dada ndio mshindi wa kuzusha nyonga kwa wiki hii.Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana Fa akimkabidhi zawadi ya Wine mwanadada alieshinda lile shindano la kuzungusha nyinga katika mduara wa nguvu pale Mzalendo Pub katika usiku wa Maflava ya ukweli.aaahhh.... Mzushiiiiiiihaya tena....Mduariko umekoleaa
"Vipi Mwataka Tena?"
Mzee wa Pamba akimwaga manotizz wakati wa kuyazungusha manyonga
Hee!! mara na kiti kikajibu,wata wakaanza kuendelezea hapo hapo chini.haya tena naona Mzushi anazidi kupagawisha kina Dada.hee!! meza tena??
full kujimix yaani mpaka kunogawatu wakijiachia na yale magoma ya Sauzi kama kawa,toka kwa Dj Mackey
raha mwanzo mwishoo.

1 comment:

  1. Uchafu mtupu!wanawake wa bongo hamna hata aibu,ndiyo maana ukimwi hauishi.
    Be smart ladies siyo mnachezacheza tuu na wanaume mnajidhalilisha.
    sister from T.o. Ontario.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad