
Dj Venture akiteta jambo na Mwana Fa

Dj Bon Love akikamua Madudezz

Mdau Tom akiwa na Shemeji yetu katika makamuzi ya Flava Nite pale Mzalendo Pub

Bon Venture Akia na Urio ambaye ni mdau mkuu wa timu ya Washika Bunduki (Arsenal ) kwa hapa Bongo,ndani ya Flava Nite

mie nikiwa na Banana Zorro pamoja na Mdau.

Dj Bon Love akiwa washkaji zake

aaahhh.... Kaka God,kumbe na wewe upo ndani ya wanja hili??Mshkaji wangu God (kati) akiwa na marafiki zake.

Vichwa makini,toka shoto ni Dj Oscar,Mie wa Mtaani,Mwana Fa,Arnold Kayanda kwa Clouds Fm pamoja na Mshindi wa Tasker Project Fame, Alpha Rwirangira wote kwa pamoja tukiwakilisha ndani ya Flava Nite @ Mzalendo Pub

Dj Bon akiwa na Marafiki zake

Dj Mackay akikamua madude ya Ukweli

Venture na Warembo

Kitenge na mshkaji wake

....hawa nao sijui wanaelekezana nini??.ni Cathbert Kajuna na Arnold Kayanda

Washkaji kibao hufika pale Mzalendo Pub kujiachia katika Flava Nite.

Bon Love akiwa na washkaji.
No comments:
Post a Comment