
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Kiongozi Zanzibar,Mh. Hamza Hassani Juma (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimali wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Bw. Goodluck Ole Medeye Wakati wa ziara ya Kutembelea Taasisi zinazoshughulikia Masuala ya Muungano. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano,Bi. Eliza Beth na Kaimu Mkurugenzi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Bw. Baraka Rajabu Mara Baada ya Kutembelea Mamlika hiyo jijini Dar es Salaam leo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano,Mh. Mohammed Seif Khatib (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Kiongozi,Mh. Hamza Hassan Juma (wapili kulia) Wakimsikiliza Mkurugenzi wa Utafutaji,Uzalishaji Kitalamu na Uchimbaji wa Mafuta kwenye kituo cha(TPDC)Upanga,Bw. Halfani Halfani Wakati walipokuwa na Ziara ya Kutembelea Ofisi za Muungano Mjini Dar es Salaam leo.picha zote na Mroki Mroki.
Ningeshangaa kama nisingemuoa Inocent Mungy!
ReplyDeleteBig up bwana mungu