HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 9, 2010

Hivi Kinachofanya Mpaka Njia Zote Hapa Mjini Kuwa Hizi Ni Nini??

Posta mpya mambo iko hiviBarabara ya Morogoro Road,ndio niliwakuta wanaendeleza libeneke kama hivi.lakini sikutaka kuwauliza sababu nilikuwa na haraka kidogo.
Mtaa wa Kaluta nako kama kawa.
Hapa napo ndio kama paonekanavyo.
hana Kip Left isiyo rasmi inapiga mzigo kama kawa.sasa sijui ni kitu gani kinaendelea hapa mjini mpaka kila mahali wanafanya hivi halafu hawapatudishii kama walivyopakuta???

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad