sasa huku ndio kupaki gani gari??halafu kateremka na kuelekea anakokujua yeye.yaani watu kama hawa unaweza shikwa na hasira na kumpa makofi ya maana tu ili asirudie tena siku nyingine kufanya ujinga kama huu.
No comments:
Post a Comment