HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 12, 2010

Tumkumbuke Hayati Hemed Maneti


Nimezidaka hizi nyimbo za hayati Maneti nikaona si mbaya nikiwapa na wengine waweze kupata burudani ya kusindikiza wikiendi. Zisikilize kupitia http://bit.ly/9mjBOa

Nyimbo hizo zilizopo kwenye kaseti ya 'UKUMBUSHO' utunzi wake hayati Hemedi Maneti akiwa na Vijana Jazz Band ni:

SIDE A
1. Jiko limenuna
2. Najilaumu
3. Nilitaka iwe siri


SIDE B
1. Unikubalie
2. Ndoa ni kuvumiliana
3. Madaraka kwenye bar

Subi,
www.wavuti.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad