
ilitesa sana enzi zake na vijana wa zamani walikuwa wakitoka chicha kweli wakitinga skuna huku juu ya skuna hii unakutana na kitu cha suruali ya Buga ambayo juu imebana halafu chini imeachia,yaani ilikuwa ni full raha.hebu vijana wa zamani tumwagieni raha ya jinsi mlivyokuwa mkijidai mitaani na usafiri huu.
Ooopsssssss..hivi vinarudi aısee..Nıskıze mımı!!!!!wanaume sasa hivi tutawaona wanatınga..Othman mmojawapo!
ReplyDeleteeeeeeeeeeh umeniku,nbusha mbaliiiiiiiiiii sana enzi hizo baba na mama walipokuwa wanatoka out baba alitinga hizi shuka tubonge, we mama alimzimia mwenyewe, withn 3 months was a wedding, sie tuliamb ulia kuambiwa tu na picha, ha ha ha thanx dad
ReplyDeleteKiazi kipya nini bumping?
ReplyDelete