Mdau Mkuu wa Mtaa Kwa Mtaa Blog,Chaoga Tonge (pichani) amenitonya kuwa anayo furaha kubwa sana leo kwani amefanikiwa kuongeza namba moja katika umri wake kitu ambacho hakuna mtu asiependa kukifurahia. hivyo basi kwa niaba ya wana Mtaa Kwa Mtaa Blog wote na popote pale walipo naomba kumtakia kila la kheri Ndugu Chaoga Tonge katika kusherehekea sikukuu yake hii ya kuzaliwa na Mungu amjaalie afya njema siku zote.
nashukuru mkuu zimefika
ReplyDelete