
Naomba uwawekee wadau hiyo link ili waweze kusikiliza mahojiano ya Cosmas Chidumule aliyofanya katika studio za Masifa FM (Radio ya kufikirika katika mchezo wa Wahapahapa).
bofya hiyo link ili kuweza kusikiliza mahojiano hayo.
http://wahapahapa.com/index.
Amani iwe nawe mkuu
Bob Sankofa
fotobaraza.ning.com
wahapahapa.com
Kaka Sankofa. Heshima kwako.
ReplyDeleteShukrani saana kwa link hiyo. Niko "utumwani" kwa sasa na sina spika hapa. Nikifika "maskani" ndicho kitakuwa kitu cha kwanza kufanya.
Nilikuwa na bado napenda tunzi za Cosmas Chidumule na naamini nitafarijika saana kusikia mahojiano hayo.
Baraka kwako Kaka O.M kwa ku-post hili
Blessings