HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 16, 2010

Website Za Serikari Kulikoni????

Sema Mzee Wa Mtaa Kwa Mtaa,

Natumai upo poa na unaendelea kupigana na maisha.

Mkubwa kuna kitu kimoja kinanisumbua sana kichwa, ni kuhusu hizi website za Serikali mbona aibu?? Nyingi zipo down, nyingine design ovyo na kushangaza zaidi ni hii web ya Tanzania Investment Centre ipo down kwa muda sasa, Serikali na wizara zake wanadhani watapata wapi investors wakati inaonesha technology ipo down ktk issue ndogo kama hii! bora ingekuwa mtu kama mimi binafsi lakini sio serikali.

kwa mfano, nipo ktk research na nashindwa kuifanya kutokana na website ya tic.co.tz ipo down! Utawala upo wapi????

Please watoe hawa jamaa ktk blog ili wawajibishwe na uzembe huu. Please piga debe kuhusu hii issue kwa sana tu mpaka kieleweke. Aibu Sana!

Kama ikiwezekana please itume hii issue kwa bloggers wote unaowafahamu, Kwa serikali kuamka na kutambua hili swala ni jukumu letu sisi wananchi kuweza kuwapa a wake up call.

Nakutakia siku njema.

Nashukuru.
Mdau,
Mwenye Machungu na Nchi Yake

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad