HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 19, 2010

FIRE BURNS NIGHT @ CHADIBWA BEACH

Kwa mara ya kwanza tunakutambulisha fire burns disco theque katika ufukwe tulivu wa
Chadibwa Beach – Kigamboni.

Ambapo moto wa ukweli utawashwa na kuufanya usiku kuwa na nuru ya aina yake,ni extravaganza night ambapo moto wenye mvuto,na wa aina yake utakuwa ukikuangazia mandhari mpya na nzuri ya ufukwe wa chadibwa.

Kama ulikuwa hujui hivi sasa baada ya mabadiliko makubwa yaliyofanyika na kuleta mwonekano wa kijanja zaidi sasa tunafungua rasmi jumamosi wa wakali yaani all stars night, MORE FIREEEEEEE,ktk kuhakikisha kuwa hukai chini ktk style za raga dance party……
Ni Dj JUICY,Dj Q,na JOHN DILLINGA aka THE EVER LASTING Dj JD

kama haitoshi matukio yote ya duniani utayaona kupitia the BIG SCREEN,nyama choma,mishkaki, si ya kuuliza.NI FIRE BURNS NIGHT,ni tarehe 27 mwezi wa 3 kwa kiingilio cha buku 3 mlangoni.na baada ya ufunguzi huu kila siku ya jmosi utakuwa ukipata burdani hiii. NI DJ Q,DJ JUICE,NA DJ JD. Baaaa somo kufyededana tu,ndani ntiti nje ntiti….

Hapa ni kugida,kuramba,kuhondomola,
mpaka chweeeee
USIMWAMBIE MWENZAKO.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad