
jana jioni nilipita pale soko la Kisutu kwa kutaka kununua mayai ya kienyeji,ambapo nilikutana na muuzaji huyu na kunipatia bei nami kumwambia idadi ya mayai niyatakayo.sasa nilianza kupatwa na mshangao tena usio na kikomo pindi huyu muuzaji alikoanza huu utaratibu wa kuangalia yale mayai tena kwa staili ya kubana jicho moja kama anachungulia vile.nilijiuliza maswali kibao lakini nilitoka hola na nikaogopa kumuuliza yeye mwenyewe.je Wadau mnaweza nisaidia kujua nini alichokuwa akikiangalia huyu bwana katika kila Yai???maaana mie mgeni hapo tena.
hapo alikuwa anaangalia yai lisije likawa limeharibika maana mayai hayo hayakawiii kuwaharibika na kuwa viza, kama likiwa viza linakuwa na kitu ndano ambacho kwa kuchungulia hivyo anakiona
ReplyDeletehahahahahahaha ni kwamba kwa mm na wenzangu hapa argentina tunasem kuwa ni mkwala ili keshi uje tena kuwa yeye nisupa push wa mayai supa ni ni mtahalkamu,, hakuna mtu duniani ambaye anaweza kujua au kuchungukia heti¿¿¿¡¡¡¡¡¡¡¡¡¡¡¡¡¡¡¡¡ yai limeoza au powa hahahahahahahahahaha
ReplyDelete